Nisher Akabiliwa Na Kazi Kubwa...

Director mkali wa video kutoka Arusha, Nisher from NISHER ENT. ameona kuwa na kazi kubwa ya videos inayomkabili....
Nisher (@NISHER_) ambae ashafanya video nzuri na kutokea kupendwa sana, i.e. LISTEN by Belle 9, PRESS PLAY by DJ Choka, DOLE by Mabeste n.k. ameyasema haya baada ya kuanza kupata simu mbali mbali kutoka kwa stars tofauti, ikiwemo wale ambao walishawahi fanya video zao zamani na kuhitaji zirudiwe...
Stars hao ambao ambao wamekuwa wakihitaji kazi zao zirudiwe na nyingi zikiwa za zamani lakini zikifanya vizuri radioni mpaka leo wanaonekana kumtafuta Nisher ili kufanya kitu kizuri zaidi...
Nisher alionesha kuona kazi kubwa inayomkabili kutoka kwa stars hawa ingawa kuna mpya ambazo pia atahitaji kuzifanya...
Good to notice this bruh, Go do your thing!!... Great videos is all we need... BIG UP!!
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment