Kabaang! Wolper Live Ndani ya Bikini kwa Mara ya KwanzaKABAANG! Hatimaye staa wa fi lamu za Kibongo mwenye heshima tele, Jacqueline Massawe Wolper amenaswa ‘laivu’ akiwa amepiga picha na Bikini.

Staa huyo aliyekuwa pekee hajapiga picha ya namna hiyo kati ya mastaa wa kike wanaotamba katika tasnia ya fi lamu hapa Bongo.


Wolper alinaswa na paparazi wetu katika sherehe ya ‘bethidei’ ya msanii mwenzake iliyofanyika hivi karibuni Ubungo jijini Dar.
Siku za nyuma, staa huyo aliwahi kukataa kupiga picha kama hiyo alipotakiwa kufanya hivyo na paparazi wetu katika ufukwe mmoja jijini Dar.
Wolper aliapa kamwe hataweza kupiga picha ya namna hiyo katika maisha yake yote na                                 Source: Global Publisher
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment