[PHOTO] Kigoma All Stars Wakifanya Shooting Ya Tangazo La NSSF

Wasanii kutoka Kigoma wakifanya la shirika la Hifadhi Ya Jamii ya [NSSF]... Pichani anaonekana Diamond Platnumz, Queen Darleen, Chege na wengineo. Kundi hili kwa pamoja ni wasanii kutoka mkoa wa kigoma wakifanya vizuri kimuziki wakijulikana kama Kigoma All Stars wakitamba kwa ngoma zao kama LEKA DUTIGITE na mpya iliyotoka hivi karibuni, NYUMBANI

0 comments: