NEW SONG/Rose Muhando-Tazama Mungu anacheka

Kutoka kwenye albamu mpya kabisa ya mwanadada mahiri Rose Muhando chini ya lebo ya SONY MUSIC ENTERTAINMENT | ROCKSTAR4000 MUSIC ENTERTAINMENT na hii ndio nyimbo iliyobeba jina la albam yake hiyo mpya inayoitwa Tazama Mungu anacheka..inapatikana kwenye maduka yote ya kuuza cd tanzania na africa kwa ujumla,albam imesheheni nyimbo nzuri ambazo ukizisikia utabarikiwa..ameni

0 comments: