KUFUATIA KUBUMA KWA SHOW DIAMOND APONDWA NA MASHABIKI WAKE


Kufuatiwa kubuma kwa sho w za Diamond Platinumz alizofanya Zanzibar na Mwanza.JamiiForums kupitia Page yake ya Facebook Ili upload picha hio pembeni na kuandika yafuatayo: 
Msanii wa kizazi kipya Diamond katika baadhi ya "shows" zake hivi karibuni Zanzibar na Mwanza.

Picha mbili za mwanzo ni katika show yake ya Zanzibar 22 January Bwawani Pemba ambapo inasadikika palikuwa na watu wasiozidi 50 na viti vingine vyote vilikuwa tupu. Kiingilio kilikuwa 10,000 kawaida na 15,000 VIP.

Picha ya tatu (chini kabisa) ni show yake aliyofanya usiku wa Valentine Jijini Mwanza katika hotel ya Gold Crest. Kiingilio kilikuwa 20,000

Je, Unafikiri kwanini shows zake zinakosa watu sikuhizi?

yafuatayo ni majibu kupitia comments za mashabiki wa Diamond na wadau wa muziki
 
Salehe Hamad Swalehe Eheh kumbe alikua mza juzi hata uwezi amini mimi naishi karibu na hapo alipofanyia shoo na lazima nipite kila siku hata mara 30 lakini sikujua kama mzee wa mapuouuuda alikua mza,mimi naisi wasanii ambao awakusoma wakawa masuper star wakipa hela basi warudi shule kusoma ili kujua dunia inakwendaje coz biashara ya mziki sasa ivi imevamiwa na wasomi.
 
Joreth Kagguo mganga wake alinena live kwenye vyombo vya habari. ss yameanza.
 
Dk Frank Patrick hana nidham acha Mungu achukue pesa zake
 
Yusuph Ally Kuweni na akili nyinyi acheni habari za uchochezi kama jamaa anaingiza watu au haingizi watu wengi nyinyi inawahusu nini??? Au ameshakuja kuwaomba hela ya kula???
Sisi mbona hatusemi na nyinyi mshaanza kupost vitu vya kipumbavu??
Haya ni maisha ya mtu binafsi na nyinyi haiwahusu
 
Joseph Mdemu Anafanya mzikiwama gazeti. Inaajaganikwenda kumuona nawakati tutasoma gazetini. Akawaimbie wakina wema. Choko uyo.
 
Makoko Hoza Ndo nnachopendea watanzania,,,,ukiwaletea madoido wanakuangalia tu majbu badaeee,,ndo kinamkuta mvua nguo jukwaani,,,,mbona bado majb yanakuja mengi tu
 
Prezdah Projo Akome ananyodo sana km dem.
 
HIZI ni baadhi ya 'comments' zilizokuwepo katika post hiyo...
JE, WEWE MAONI YAKO NI YAPI
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment