BREAKING NEWS:BUI BUI APATA AJALI MBAYA YA PIKIPIKI,AVUNJIKA MIGUU YOTE MIWILI

MSANII WA BONGO FLEVA BUI BUI APATA AJALI YA PIKI PIKI AVUNJIKA MIGUU YOTE MIWILI NA MIKONO KUJERUHIKA VIBAYA SANA YUPO MAHUTUTI MUHIMBILI WODI YA KIBASILA,WATANZANIA TUSHIRIKIANE KUMWOMBEA HALI YAKE NI MBAYA SANA…..!!!!
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment