BAADA YA PAPA KUTANGAZA KUJIUZULU RADI YAPIGA KANISA

Pope+Benedict+XVI+Pope+Benedict+XVI+arrives+9SBA5IV2gxelJe! Hii ni ishara kutoka kwa Mungu? Sababu amini usiamini saa kadhaa baada ya Papa Benedict XVI kutangaza kuwa atajiuzulu radi kubwa ilipiga kwenye kanisa la St Peter’s Basilica.

Papa Benedict aliwashtua mabilioni ya waumini wa kanisa katoliki duniani kwa kutangaza kuwa atajiuzulu mwishoni mwa mwezi huu.
Papa huyo mwenye miaka 85 amekuwa kiongozi wa kanisa hilo tangu mwaka 2005.
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment