SAJUKI KUZIKWA DAR IJUMAA!

MSANII nyota wa filamu Juma Kilowoko “Sajuki” aliyefariki leo alfajiri, atazikwa kesho kutwa kwenye makaburi ya Kisutu.
Mdogo wa marehemu Mohamed Said, ameiambia Saluti5 kuwa kikao cha wana ndugu kimeamua Sajuki azikwe Dar es Salaam. 
Awali kulikuwa na shaka kuwa huenda msanii huyo angeenda kuzikiwa nyumbani kwao Songea.
SOURCE: SALUTI 5

0 comments: