RACERS WAJA NA VIDEO MPYA

Washikaji wanaofanya vizuri katika mziki wa hiphop kutoka Morogoro waja na video mpya..kwa habari nilizozipata kutoka kwa moja ya msanii anayeunda kundi hilo Conscious Rapper video hiyo inatoka mda si mrefu na itakuwa kali sana,wewe kama shabiki wa RACERS kaa mkao wa kupata burudani chini ya prod GQ the towndaddy

0 comments: