"Swimming Pools (DRANK)" Ya Kendrick Lamar Yauza Nakala Milioni Moja...      Rapper kutoka Compton, LA. Kendrick Lamar, amefanikiwa kuuza na kufikisha nakala milioni moja ya single yake ya SWIMMING POOLS (DRANK). Track hiyo ambayo ilitoka katikati ya mwaka jana [July 2012] imefanikiwa kufika katika chart hiyo ya mauzo ikifahamika kama Platnum.
      Swimming Pools (Drank), ni moja kati ya tracks kali iliyo katika Album mpya ya Kendrick ikifahamika kama Good Kid M.A.A.D City ikiwa na track zingine kali na kushirikisha wasanii na producers wakubwa kama Dr. Dre.


Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment