[Picha] Utengenezaji Wa Video Ya Suit & Tie Ya Justin Timberlake Akiwa Na Jay-Z...


          Mwanamuziki kutokea pande za kwa Obama, Justin Timberlake ambae kwa sasa anatamba na ngoma yake ambayo ni mpya kabisa akiwa ameshirikiana na Jay-Z inayokwenda kwa jina la Suit & Tie.
Habari mpya kutoka kwa msanii huyo ni kwamba, sasa yuko katika utengenezaji wa video ya ngoma yake hiyo ambapo video shoot inafanyika katika Jiji la Los Angeles, America.
Hizi ni baadhi ya picha za utengenezaji wa video hiyo...

0 comments: