[Picha] Hatimaye Mwigizaji Lulu Aachiwa Kwa Dhamana Leo...        Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imemuachia kwa dhamana msanii wa maigizo wa hapa nchini, Elizabeth Michael ( Lulu ) aliyekuwa mahabusu katika gereza la Segerea jijini Dar es salaam kwa mashtaka ya kumuua msanii mwenzie Steven Kanumba [R.I.P].
Wiki iliyopita mawakili wa muigizaji huyo waliwasilisha maombi ya dhamana kwa mahakama kuu ya Tanzania.

0 comments: