Picha chafu za Wabongo zazidi Kuzagaa Mtandaoni-Tuwe Makini Jamani

Picha sizizo na Maadali za wabongo kipindi cha hivi karibuni zimezidi kuzagaa mitandaoni ...Hii inachangia kuharibu maadili yetu mazuri ...Hizo picha hapo juu ni moja za picha mbaya ambazo zinazagaa kwa sasa katika mitandao na blogs mbali mbali...kama wewe Mdau unatoa ushauri gani ili kukomesha uchafu huo?

0 comments: