NEW SONG/Linex - Mahakama Ya Mapenzi

   
Linex ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la MAHAKAMA YA MAPENZI, wimbo ukiwa umetengenezwa Sweden kwa Fundi Samweli sauti imerekodiwa na Tuddy Thomas. Uandaaji mzima wa wimbo umefanywa na producer Fundi Samweli. Sikiliza wimbo huu jinsi ulivyopangiliwa muziki huo kwa ustadi wa hali ya juu. MSANII : LINEX WIMBO : MAHAKAMA YA MAPENZI MTAYARISHAJI : FUNDI SAMWELI (FROM SWEDEN) MTAYARISHAJI WA SAUTI : TUDDY THOMAS
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment