MSANII WA NYIMBO ZA MCHIRIKU OMARI OMARI AFARIKI DUNIA

MSANII nyota wa miondoko ya Mnanda 'Mchiriku', Omar Omar, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda mrefu. Omar Omar aliyetamba na nyimbo mbalimbali ukiwemo ule maarufu wa 'Kupata ni Majaliwa'

0 comments: