Dully Sykes Kutoa Ngoma Moja Na AY Na Kidoti...Mwanamuziki Dully Sykes ambae ndio mkali wa nyimbo ya Mtoto Wa Kariako, Bongo Flava, Biberon na ya sasa ambayo amewapa shavu wakali wawili Ommy Dimpoz na Diamond na mzigo ukiitwa Utamu na kufanya vizuri katika radio stations mbalimbali.
          Sasa habari kamili kutoka kwa msanii huyu ni kuwa yuko mbioni kuachia track yake nyingine itakayokwenda kwa jina la Mapenzi Ni Sumu ambapo ndani ya hiyo track amempa shavu mwanadada Jokate pamoja na AY.
          Dully amesema kuwa ameamua kufanya kazi na mastaa hao wawili kwa sababu anafikiri njia mojawapo ya kuufanya muziki wake uwe ni wa kimataifa kwa sababu AY ameshafanya kazi na wasanii wengi wa nje.
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment