Diamond Aanza Mwaka Vibaya-Show ya Wasafi yaingia Kimavi


Diamond Ameanza Mwaka Vibaya baada ya Show yake ya Jana Pale Maisha Club kwenda Asivyotegemea Baada ya Kundi La Vijana wasio Julikana Kuanzisha Vujo Diamond Alivyo Panda tu Jukwaani Kutoa Show...Chupa za maji na Pombe zilirushwa Jukwaani na Kumjerui yeye pamoja na Mpiga Picha wake na kupelekea Diamond Kusimamisha Show kwa Muda...Baadhi ya watu walipoteza Vitu vyao vya samani ikiwemo chani na Cameras

0 comments: