EXCLUSIVE: PICHA NA VIDEO ZA UTENGENEZWAJI WA VIDEO MPYA YA AY – MONEY JO’BURG SOUTH AFRICA


 
Video ya single mpya ya Ay ft Vanessa Mdee – Money ilifanyika Afrika kusini katikati ya novemba 2012 chini ya kampuni ya Godfather, ni video ya pili ya gharama kubwa Ay kuilipia baada ya ile ya ‘party zone’ ambayo aliifanya na kampuni hiyohiyo.
Warembo wakisubiri kuchujwa ili waingia kwenye video shooting.
.
.
.
.
.
.
Hawa ni ambao wameshapita tayari.
.
.
.
Hawa wengi wao hawakufaulu kwenye mchujo.
.
.
.
.
.
.
.
.
Ay na Fa walikua pamoja, Fa ameuza pia ndani ya video.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

0 comments: