NEW SONG/Goldie Harvey ft. AY - SKIBOBOMshiriki wa Big Brother Africa 2012 kutokea Nigeria mwanadada Goldie Harvey ameachia ngoma yake akiwa amemshirikisha AY Mshindi wa tuzo ya Channel O 2012. Ngoma iyo inayoitwa Skibobo imeachiwa leo kutoka kwenye ukurasa wa twitter wa Goldie na AY muda mfupi uliopita.

0 comments: