Keri Hilson aizimia Ashawo Remix ya FlavourWakati ambapo wimbo wa Flavour wa Nigeria uliohit mwaka jana na mwanzoni mwa mwaka huu ukiwa umepotea kidogo kwenye playlist za radio na TV, mwanadada Keri Hilson wa Marekani ndio kwanza wimbo huo unampa mzuka. Kupitia Twitter jana mrembo huyo ameusifia wimbo huo.

0 comments: