Hongera Dj Choka Kwa Kupata Mtoto Wa kiumeThe Greatest Dj in Town almaarufu kwa jina Dj Choka sasa na yeye ni miongoni mwale amabao wamo katika chama la madingi. Kwa taarifa zilizotufikia asubuhi ya leo Dj Choka na Girlfriend wake wameeleza furaha yao leo kwa kuweza kupata Mtoto wa Kiume.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter dj Choka ameonyesha Furaha yake na kumpongeza baby mama wake kwa kuweza kumpatia kidume hicho ndani ya familia yake.
  

0 comments: