DJ CHOKA ATOA SABABU YA KUCHORA TATTOO YA JINA LA PROF JAY..


Katika ukurasa wa facebook Dj choka aliandika na kuwaambia mashabiki wake sababu zilizomfanya achore tattoo ya jina la prof jay.aliandika..NDUGU ZANGU NIMESOMA COMMENTS ZENU NA NIKAWAELEWA SANA SIWEZI PINGA MAWAZO YA WATU OK. Sasa ni hivi nia na dhumuni la kuchora tattoo yenye jina la PROF JAY ni kwamba nusu ya maisha yangu yote mpaka kufika hapa nakuwa na familia yangu yeye ndio nguzo yangu imara na nuru ya ushauri wangu kila siku iendayo kwa mungu. Na kama mlikuwa hamjui me sio shabiki wa PROF JAY mimi ni ndugu na nimdogo ambaye wa zazi wangu waliponiruhusu kulelewa na Prof Jay ndio nikaanza kufundishwa huu mziki wa bongo mpaka sasa nimekuwa na kusimama mwenyewe. So tattoo hii ni heshima ambayo haitofutila milele mpaka nakufa na why umsifie mtu akisha kufa? Nampa heshima yake akiwa hai ili ajue kwamba huu wino unamaana nyingi sana. Natukuza vya nyumbani vya nje sivijui kiundani...ASANTENI

0 comments: