MISS TANZANIA 2000, JACQUELINE NTUYABALIWE “K-LYINN” AJIFUNGUA WATOTO MAPACHA…!!

Mrembo aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2000, na msanii wa muziki  Jacqueline Ntuyabaliwe almaarufu K-Lyinn au amejifungua watoto mapacha wa kiume. Hongera sana K-Lynn!!

0 comments: