Dj Choka Atoa Mkwara Mzito kwa Ex-Girlfriend Wake Wote Wanao Msumbua Mke wake Mjamzito

 Hii Hapa chini Ndio Message Aliyo Andika Dj Choka Kuwapiga Mkwara Mademu Wote Alio Wahi Kutoka nao Ambao Sasa Wanamsumbua Mke Wake Ambae ni Mama Kijacho..Soma Mwenyewe Hapo Chini:
 
"Naomba niseme hivi kwaanzia leo sipendi na sipendi binti yoyote ambaye nilitembea nae au sijatembea nae kumtibua mke wangu ambaye ni mama kijacho wangu, anaambiwa mengi sana kuhusu mimi oooh djchoka malaya oooh Djchoka sijui ana nini sasa ni hivi yeye nilimpenda au yeye kunipenda mimi jinsi nilivyo, mateso anayoyapata kwa msg ambazo ww malaya unaziandika na kuweka kwenye fb account yako naomba nikwambie utaniumizia leo tu ila moyoni huyu ndio chaguo langu FULL STOP mazafaka i dont care kazi kuharibu family za watu kama nilitembea na ww ilikuwa kitambo now me ni BABA KIJACHO" DJ Choka

0 comments: