DASTAMINA WAIBA NGOMA YA BABA LEVO NIACHENI NAYE

INASHANGAZA KUONA KUNDI KAMA dastamina international wameiba ngoma yangu NIACHENINAE niloyofanya na SHARO MILIONEA wao wanaiita NIACHENI na wamemshirikisha ALLY KIBA. hii inaonyesha sio wabunifu wanatumia power ya promotion waliyonayo kufanya dhuluma. ila kwangu wameyakanyaga.
Like · · · about an hour ago ·
Share on Google Plus

About Bachema

Blog hii inamilikiwa na Bachema Media,Kwa Biashara na Matangazo Wasiliana nasi kwa Tigo:0717342094,Email.bachemao@gmail.com.kama una wimbo pia unaweza kutuma kwenye email.bachemao@gmail.com.Karibu utangaze nasi kwa Bei Nafuu Kabisa.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment